Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe Rose Mayemba ametetea kiti hicho kwa awamu nyingine katika uchaguzi uliofanyika leo mjini Njombe akipata kura 42 sawa na 65% Kati ya kura 65 zilizopigwa huku mshindani wake katika nafasi hiyo Bwana Ahadi Mtweve akipata kura 23 sawa na 35%.
Katika uchaguzi huo Katibu wa Chadema Baraka Kivambe pia ametetea nafasi hiyo akipata kura 61 kati ya 65 zilizopigwa.
0 Comments