Header Ads Widget

RAIS DKT. MWINYI ALIPOSHIRIKI IBADA YA EID EL FITRI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Eid El Fitr iliyofanyika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 10 Aprili 2024.










Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI