Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson ametangaza taarifa za kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kwahani, Zanzibar, Ahmed Abdulwakil aliyefikwa na mauti kutokana na ugonjwa wa shinikizo la damu.

Na Mwandishi Wetu, NCAA. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amezin…
0 Comments