Asella Alphonce Alyandery ( 28) ni mjamzito; mkazi wa Kitwilu Iringa
Amepotea toka siku ya jumanne 2/4/2024 katika mazingira ya kutatanisha. alitoka nyumbani muda wa mchana na hajaonekana tena hadi sasa.
Familia na ndugu wanazidi kumtafuta na kuomba msaada wako iwapo unataarifa zake awasiliana nasi kwa namba 0753607400 au 0762438961 au toa taarifa kituo chochote cha polisi kilichopo karibu ama uongozi wa serikali ya mtaa au kijiji .
Tayari taarifa za kupotea kwake zimeripotiwa polisi Iringa kwa RB yenye kumbukumbu namba IRR/RB/1344/2024
0 Comments