Header Ads Widget

MWANAMKE MJANZITO IRINGA ATOWEKA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA

 Asella Alphonce Alyandery ( 28) ni mjamzito; mkazi wa Kitwilu Iringa

Amepotea toka  siku ya jumanne 2/4/2024 katika mazingira ya kutatanisha. alitoka nyumbani muda wa mchana na hajaonekana tena hadi sasa.

Familia na ndugu wanazidi kumtafuta na kuomba msaada wako iwapo unataarifa zake  awasiliana nasi kwa  namba 0753607400 au 0762438961  au toa taarifa kituo chochote cha polisi kilichopo karibu ama uongozi wa serikali ya mtaa au kijiji .

Tayari taarifa za kupotea kwake zimeripotiwa polisi Iringa kwa RB yenye kumbukumbu namba IRR/RB/1344/2024

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI