Na Mwandishi Wetu.
Kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Tigo kupitia promosheni yake ya Magifti Dabodabo imemkabidhi mkazi wa kijiji cha Rushaka wilayani Bukoba mkoani Kagera Olivia Pastory kiasi cha Shilingi Milioni kumi baada ya kuibuka mshindi
Akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa amewakumbusha wakazi wa kijiji hico kuendelea kufanya miamala mbalimbali kupitia mtandao wa tigo ili kujiongezea nafasi ya kushinda zawadi.
Mshindi wa Magifti Dabodabo Olivia Pastory akaeleza namna pesa hiyo itakavyomsadia kulipia ada yake na wadogo zake
0 Comments