Header Ads Widget

CAF YAMFUNGIA MECHI 8 KOCHA WA TAIFA STARS, TFF YAMSIMAMISHA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemfungia mechi 8 Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Adel Amrouche baada Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco (RMFF) kuwasilisha malalamiko CAF


RMFF imelalamika kuhusu kauli za Kocha huyo akidai kuwa Morocco inaushawishi ndani ya CAF katika kupanga mechi pamoja na Waamuzi


Aidha, Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) imemsimamisha Kocha huyo na kumteua Hemed Morocco kuwa Kaimu Kocha huku akisaidiwa na Juma Mgunda

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI