Header Ads Widget

BOBALI MWENYEKITI MPYA WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO LINDI

 


Na Hadija Omary 

Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Lindi kimefanyauchaguzu Mkuu na kuwapata viongozi wapya huku Mbunge wa zamani wa jimbo la Mchinga Hamidu Bobali akiibuka mshindi katika nafasi ya uwenyekiti wa chama hicho akishinda kwa kura 101 kati ya kura 103 huku mshindani wake wa nafasi hiyo ndugu Erasto Toshi Leonard akipata kura 5


Uchaguzi huo umefanyika leo january 18,2024 katika ukumbi wa Double M Manispaa ya Lindi Mkoani humo

Katika uchaguzi huo nafasi ya katibu wagombea walikuwa wawili ambapo 

Abdallah Faustine Halfani kapata kura amemshinda mpinzani wake kwa Kassimu Hassan 99 ambae amepata kura 4


Awali akifungua mkutano huo Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) aliwataka wanachama wa chama cha ACT Wazalendo Mkoawa  Lindi kuchagua viongozi watakaokipambania chama hiko .

Amesema kuchagua viongozi watakaoenda sambamba na dhamira na misingi ya chama hicho ni jambo la msingi kwani viongozi hao ndio watakao.

Aidha amewataka  wanachama na wajumbe hao wa Mkutano Mkuu  kuepuka makundi na  migogoro ndani ya chama chao



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI