Mlezi wa kikundi cha wenza wa viongozi "Ladies of New Millenium Women Group" Mama Mary Majaliwa akikabidhi misaada mbalimbali kwa waathirika wa Mafuriko yaliyotokea Katesh Mkoani Manyara kwa niaba ya kikundi cha Wenza wa Wake wa Viongozi "New Millenium Women Group, Jana Disemba 18,2023
0 Comments