Header Ads Widget

NUNUENI UMEME WA KUTOSHA -TANESCO

 


Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)limewataka wateja wa malipo ya awali (LUKU) kuwa kutakuwa na maboresho kwenye Mfumo wa Luku kuanzia NOVEMBA 27 Saa Nne usiku Hadi Novemba 28 saa 2 usiku  hivyo kuwataka wateja wake wa Luku kununua Umeme wa kutosha kuepuka Usumbufu

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI