Header Ads Widget

MKURANGA: KUCHEZWA WATOTO WA KIKE NI KWA WALIOFAULU KIDATO CHA NNE TU.


Na Scolastica Msewa, Matukio DaimaApp Kibaha

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Khadija Nassiri Ally wakati akizindua jengo la ofisi ya Shirika lisilo la kiserikali la Himiza Development Organization huko Mwanambaya Mkuranga mkoani Pwani uzinduzi iliyofanyika kwa ushirikiano na Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na haki za watoto na wanawake na kupinga ukatili juu yao la LUTOGO.


Khadija amesema "Tuboreshe namna ambavyo tutazisimamia mila na destuli zetu, kwanini tusianzishe mfumo kwamba msichana anapofaulu vizuri masomo yake ndio achezwe? Huku tukisimamia wa maendeleo ya watoto wetu"

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI