Taarifa zilizotufikia hivi punde Jeshi la Polisi Dar es Salaam limemkamata Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kwa kukosoa tozo, Jonas Afumwisye akiwa nyumbani kwake.Wakili wake Peter Kibatala amesema Afumwisye amempigia simu na kumweleza kuwa Polisi wamemfuata na kuelekea Central Polisi
0 Comments