Header Ads Widget

MATUKIO KATIKA PICHA RAIS SAMIA AKIWA 'IDA 20 SUMMIT FOR AFRICA' NCHINI SENEGAL

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine Wakuu wa nchi mbalimbali Barani Afrika mara baada ya Mkutano wa Wakuu hao wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) uliofanyika kwenye ukumbi wa King Fahd Palace Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wakuu wa nchi mbalimbali wa Afrika katika Mkutano wa faragha wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) uliofanyika kwenye ukumbi wa King Fahd Palace Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.(Picha zote na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI