Header Ads Widget

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 'Kids OR WA KUZUIA VIFO KWA WATOTO WACHANGA


Makatibu Wakuu wa Wizara ya Afya Tanzania Bara na Zanzibar Prof. Abel Makubi na Dkt. Fatuma Mrisho wameshiriki mkutano na wadau ambao wamekuwa wakisaidia juhudi za kupunguza vifo vya watoto wachanga na matatizo yanayohitaji upasuaji (Kids OR) mjini London.


Kids OR nchini Tanzania wamesaidia kujenga vyumba vya upasuaji vya watoto wachanga , vifaa na mafunzo katika Hospitali za Muhimbili, KCMC , Bugando vilevile katika nchi 22.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI