Header Ads Widget

RC SENDIGA ATAKA MAKANDARASI UJENZI WA BARABARA KUHARAKISHAKAZI

 


MKUU wa mkoa wa Iringa Queen Sendiga ametoa onyo Kwa makandarasi waliopata kazi za ujenzi wa miradi ya barabara kuharakisha ujenzi wa miradi hiyo .

Akizungumza Leo na Matukio Daima Tv Ofisini kwake Sendiga amesema tayari amekwisha fanya ziara ya kukagua miradi yote ya barabara Katika wilaya ya Mufindi na anaendelea wilaya nyingine zote .

Hata hivyo Mkuu huyo wa mkoa ametoa onyo Kwa wananchi wanaoharibu miundo mbinu ya barabara kuacha Mara moja tabia hiyo .

Sendiga amepongeza Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Kwa kuendelea kutoa fedha za miradi mbali mbali .TAZAMA VIDEO YA RC IRINGA QUEEN SENDIGA HAPA


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS