kuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel ametoa sadaka ya kufuturisha futari kwa waumini wa dini zote na kuwambusha watu wa Madhehebu mbalimbali kuishi kwa amani na upendo kwani kwa kufanya hivyo tunamtukuza Mwenyezi Mungu hafla ambayo imefanyika katika ukumbi wa Mwanza hotel jijini humo
Kwa upande wao baadhi ya waumini wa madhehebu mbalimbali ambayo yameshiriki sadaka hiyo wamempongeza mkuu wa mkoa huo mhandisi Robert Gabriel pamoja na mheshimiwa Mnec wa mkoa wa Mara Christopher Mwita Gachuma nakuomba wadau mbalimbali yakiwemo mashirika kuiga mfano huo kwa kufuturisha jamii
Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kidini wakiwemo Maasikofu,Masheikh,Mkurugenzi wa Kivulini Yasini Ally,Mkuu wa wilaya ya Magu Salumu Kalli,Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Julius Peter pamoja na Mnec wa mkoa huo Jamal Babu.









0 Comments