Huku Kaka wa marehemu Maunda Zorro ,Msanii Banana Zorro amethibitisha juu ya taarifa hizo kuwa ni kweli amefariki Dunia .
Alisema Hadi jana Jioni alikuwa na Maunda kwenye msiba wa rafiki yao ila Jioni alipata taarifa kuwa Maunda amefariki Kwa ajali .
"Nimezipata hizo taarifa ndio naelekea Hospital Kigamboni ,taarifa ni za kweli tulikuwa kwenye msiba wa rafiki yetu mwingine wa karibu na Maunda hadi Jioni kati ya Saa 11 ama 12 hivi nimerudi nyumbani kulala maana msiba ulikuwa Kigamboni na yeye anakaa Tuangamo Kwa taarifa zaidi Kuhusu msiba ni hadi nimefike Hospital "alisema ajali ilitokea Saa 4 usiku
Matukio Daima Media tunatoa pole nyingi Kwa familia na marafiki wote wa Maunda
🔥 DOWNLOAD APP YA MATUKIO DAIMA KUPITIA GOOGLE PLAY STORE BURE KWA HABARI WAKATI WOTE AU JIUNGE NA CHANEL YA MATUKIO DAIMA HOTNEWS UKIHITAJI KUJITANGAZA NA MATUKIO DAIMA MEDIA ☎️0754 026299
*CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI ILULA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO YA UFUNDI KOZI FUPI ZA MIEZI SITA GHARAMA NAFUU ☎️0757517343
🛌KARIBU IRINGA MJINI ,KARIBU PLUS LODGE ILIYOPO LUNDAMATWE ☎️0754504800
MR.JUMBO NI WAUZAJI WA CAMERA NA VIFAA MBALI MBALI WANAPATIKANA POSTA MPYA JIJINI DAR ES SALAAM NA DODOMA ☎️0754259771
0 Comments