Header Ads Widget

BREAKING:AJALI YASABABISHA KIFO CHA PROF NGOWI




Gari la alilokuwa akitumia Prof Ngowi na dereva wake kabla ya kifo chao


 Makamu Mkuu wa Chuo cha Mzumbe  Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro

Prof Ngowi  wa Mzumbe na dereva wake wamefariki kwa ajali leo asubuhi.  wameangukiwa na container la semi trailer Mlandizi akiwa anaenda Morogoto  kwenye kikao .

Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya tukio hili, na kuweka taratibu zingine. Taarifa zaidi  zitatolewa rasmi na taratibu zingine za kuwahifadhi wenzetu. Bwana alitoa na Bwana Ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. Poleni Wote kwa msiba huu mzito.

Kontena lililosababisha ajali ya Prof Ngowi



Imetokewa na,


Ofisi ya Mawasiliano

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI