Mtandao wa jamii wa Rais Donald Trump unaoitwa “Truth” utapatikana kwenye App Store kwa watu wenye IPhone. Mtandao huo utafanana sana na Twitter na Tajiri huyo ameamua kuanzisha mtandao wake baada ya Accounts zake za Twitter, Facebook na Instagram kufungiwa.
0 Comments