Header Ads Widget

BREAKING.MGOMO WA MABASI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI LEO IRINGA

 






Madereva wa mabasi yanayofanya safari zake kati ya Iringa na mikoa ya nyanda za juu kusini kama Njombe,Mbeya na Ruvuma Leo wamegoma kutoa mabasi Yao stendi ya mkoa wa Iringa (Igumbilo) kushinikiza kuruhusiwa kupita stendi ya Ipogolo .


Mgomo huo wa madereva umeanza majira ya Saa 12 asubuhi Kwa mabasi hayo kutoka stendi hiyo ya mkoa.


Wakizungumza na waandishi wa habari madereva hao wamesema kuwa wameamua kugoma ili kuomba uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuwaruhusu kutumia stendi ya Ipogolo kushusha abiria kisha kuendelea na safari .

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI