wachezaji 11 na Viongozi 5 wa bechi la ufundi timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20 (Tananite Queen s ) wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona .Vipimo vimefanyika nchini Burundi vimeonesha kuwa zaidi ya Nusu ya ya wachezaji wanamaambukizi isipokuwa wachezaji 9 pekee





0 Comments