Mmoja wa madereva wa gari la magazeti lililopata ajali na kuua watu 10 mkoani Iringa Abdul Ally Lyiu kakanusha taarifa za kifo chake kuwa yupo hai na kuwa wakati wa ajali ikitokea hakuwepo ila alisahau leseni yake Katika gari hilo na ndio sababu ya kutajwa Katika orodha ya waliokufa
0 Comments