WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Ummy Mwalimu leo Jumatano Novemba 24, 202 atangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 huku ikisema imawapa kipaombele wanafunzi wa vijijini shule za kitaifa za bweni.
BOFYA HAPA>>WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJINGA KIDATO CHA KWANZA 2022Katika upangaji wa mwaka huu wanafunzi wote 907,802 waliofaulu mtihani wamepangiwa kuanza masomo Januari 17, 2022 kwa wakati mmoja baada ya maandalizi ya Serikali.
Upangaji huo hautahusisha wanafunzi wenye ufaulu mzuri zaidi ambao wao watapangiwa kulingana na alama zao na kwa mwaka 2022 wanafunzi waliofaulu zaidi na kupangiwa ni wanafunzi 4188.
BOFYA HAPA>>KUTAZAMA MATOKEO DARASA LA SABA 2021
“Wanafunzi waliopangiwa shule za bweni za Kitaifa ni 1989 na hapa tumechukua zaidi wanafunzi wa vijijini lakini kwenye majiji na halmashauri tumeangalia sana wenye uhitaji tu,” amesema Mwalimu
0 Comments