"Jana nimewaaga wachezaji na wanangu wa timu ya Basket Ball Mkoa ambao wamekwenda kushiriki mashindano ya taifa (CRDB Taifa Cup) Dodoma kuanzia Nov 5 hadi Nov 14 wapo kwenye hali ya kutaka ushindi na kuuwakilisha vyema mkoa wetu wa Iringa Kimichezo"RC Iringa Queen Sendiga
RC Iringa akisaini kabla ya kuwaaga wachezaji
Mkuu wa mkoa wa Iringa Queen Sendiga akiwa kwenye picha ya pamoja na wanamichezo
0 Comments