Header Ads Widget

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZINDUA KAMPENI YA "SheforHe"

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania  Zlatan Millisic na Mwakilishi wa Shirika la UN linaloshughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN)  Hodan Addou, walipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Zlatan Millisic, wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”

BAADHI ya Mawaziri wakifuatilia hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Hodan Addou, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto) Mwakilishi Mkaazi wa UN Nchini Tanzania Zlatan Millisic

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI