Header Ads Widget

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AELEKEA NCHINI MISRI KWA ZIARA YA SIKU 3

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango katika uwanja wa Ndege wa Dodoma kabla ya kuondoka nchini kuelekea Cairo, Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais  Dkt. Philip Isdor Mpango wakati akielekea kupanda Ndege kwenda Cairo, Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono viongozi mbalimbali waliomsindikiza katika uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati akielekea Cairo nchini Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI