Header Ads Widget

DK.MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOTELI YA KITALII KIZIMKAZI ZANZIBAR.

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Kizimkazini Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Mkurugenzi wa Mradi huo Ahmed Saber akionda kipazia, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi wa Hoteli hiyo Kizimkazini.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandishi wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Kizimkazini Mwinyi Sarboko, akitowa maelezo ya ujenzi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi,



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja(hawapo pichani) baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasisi Beach Resort Kizimkazi, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Utali na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Bi. Lela Burhan Ngozi.

WANANCHI wa Kizimkazi wakimsiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI