Header Ads Widget

DK. MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOTELI YA EMERALD ZANZIBAR


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort & SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja,akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na(kushoto) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Jesus Alfredo Otri, ikiwa ni shamrashamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake kutokea kuingia madarakani.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmiliki wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort &SPA Matemwe Jesus Alfredo Otri, akitowa maelezo ya Mradi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI