| RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja baada ya kukata utepe kuufungua rasmi leo 8-10-2021, na kujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo |
0 Comments