Header Ads Widget

PICHA: NAIBU SPIKA DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

 

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 28, 2021

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi (kushoto) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Wapili kulia ni Katibu wa Naibu Spika, Bw. James Sapali na Katibu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bi. Sylvia Matiku


Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI