Kampuni ya udalali ya Greenlight kwa idhini ya Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya Kinondoni kituo cha Ukonga,22 Oktoba 2021, itaiuza nyumba ya mchezaji wa zamani wa Simba Sc , Emmanuel Gabriel Mwakyusa iliyopo Kitunda baada ya Anna Abeid Salum kushinda madai namba 91/2018.





0 Comments