Baada ya Simba kufungwa na Galaxy Mohamed Dewji ameandika kwenye Kurasa yake ya Twitter kuwa Kwa kuwa amejiuzulu na hana nafasi Simba
" sina nafasi ya kutoa uamuzi wowote Simba. Ninachoweza ni kutoa ni ushauri kwa mwenyekiti na bodi kuchukua hatua kali kwa wale ambao wanawajibika kwa upotevu wa mechi ya leo Hii haikubaliki"





0 Comments