Mwenyekiti wa Bodi ya kriketi nchini Afghanistan, Azizullah Fazli amesema viongozi wa juu wa Taliban hawajapiga marufuku michezo ya wanawake hususani kriketi.
Amesema Taliban hawana shida na ushiriki wa wanawake michezoni endapo watazingatia dini na tamaduni





0 Comments