Mahakama ya mkoa wa Mbeya imemhukumu mkazi wa Veta Mbeya ambae ni dereva bajaji kifungo cha miaka 30 jela Deus Peter (25) baada ya kukiri kosa la kumpa mimba na kumkatisha masomo mwanafunzi wa kidato cha nne mwenye miaka 16.

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar es Salaam…
0 Comments