Chama cha ACT wazalendo kimefanikiwa kukigalagaza chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Konde baada ya kupata kura 2491.
Msimamizi wa uchaguzi jimbo hilo Abdallah Said Ahmed amemtangaza Mohamed Said Issa wa ACT wazalendo kuwa mshindi .
Mgombea wa CUF Salima Khamis Omar akipata kura 98 na Hamad Khamis Omar wa AAFP akipata kura 55
0 Comments