Chama cha Wachimbaji wadogo Madini Mgusu kilichopo Mkoani Geita kimepewa tuzo ya Heshima kwa kutambua Mchango Mkubwa Unaofanywa na Chama hicho tuzo hiyo Imetolewa na kwenye Sekta ya Madini kutambua kazi kubwa zinazofanywa na Chama hicho.
Tuzo hiyo Ilitolewa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassimu Majaliwa Majaliwa Jijini Dar es salaam Viwanja vya Mnazi Mmoja 15/8/2025 Waziri Mkuu alisema Moja ya Chama cha Ushirika Mgusu kinafanya Vizuri Kwenye ulipaji Kodi Ni Mgusu, Hivyo Sisi Kama Serikali tunatambua Mchango wao na tutaendelea Kuwapa Ushirikiano Kama Serikali alisema Majaliwa
AkikabidhiTuzo hiyo Dolini Mwandi Ambaye ni msajili wa vyama vya Ushirika Mkoani Geita Kwa niaba ya Waziri Mkuu alisema Tuzo hiyo Ilitolewa Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya vyama vya Ushirika.
Naye Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika Musabile Modest alitoa Pongezi kwa selikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutambua Mchango wao Kama Wachimbaji Tuzo hui Itaendelea kutupa Motisha ya Kufanya kazi na kuendelea Kutoa ushirikiano kwa selikali .
Lakini Pia Naye Zachalia Kalala ambaye Ni katibu wa Mgodi wa Mgusu “alisema Wao Kama Wachimbaji wa Mgusu Mhe. Rais aliwapa Lessen 20 za Uchimbaji hiyo hatuna Deni na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassani Kikubwa Mwezi10 Tarehe 29 /10 /2025 tunaenda Kumchagua kwa Kura zote za Ndio, Kwa Maana aliyoyafanya yanaonekana kwetu Sisi alisema Zachalia.
0 Comments