Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mbunge wa sasa wa Jimbo la Mafinga Mjini,
Cosato Chumi kuendelea kudhihirisha uimara wake kisiasa baada ya kupitishwa
tena katika mchujo wa kuwania nafasi ya ubunge katika uchaguzi mkuu ujao wa
mwaka 2025.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu wa NEC anayeshughulika na Itikadi, Uenezi
na Mafunzo, CPA Amos Makalla wakati akitangaza
majina ya wagombea waliopitishwa leo Julai 29, 2025 jijini Dodoma.
Wagombea wengine waliopita mchujo wa CCM katika Jimbo la Mafinga Mjini ni
Dickson Lutevele, Agrey Tonga, Medadi Kigola na Dkt. Brazili Tweve.
0 Comments