Header Ads Widget

BREAKING:MOTO WATEKETEZA SOKO LA SINGIDA

MOTO Mkubwa ambao chanzo bado kufahamika unateketeza  Soko Kuu la mkoa wa Singida lililopo katikati ya mji usiku huu.

Moto huo inezuka usiku huu  wa Julai 5, 2025 huku jitihada za kuzima moto huo pamoja na kudhibiti usilete madhara zaidi zinaendelea kufanywa na Jeshi la Zimamoto mkoani humo huku Shirika la Umeme TANESCO mkoa wa Singida likichukua tahadhari kwa kuzima umeme kutokana na baadhi ya nguo za umeme sokoni hapo kushika moto.

 pia jeshi la Polisi likiendelea kuimarisha ulinzi katika eneo hilo la tukio .


Endelea kufuatilia  Matukio Daima Media kwa habari zaidi

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI