Na COSTANTINE MATHIAS, BUSEGA.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Mradi wa Maji katika mji wa Lamadi, wilayani Busega Mkoani Simiyu ambao utanufaisha wananchi zaidi ya 87,000 huku akiwakumbusha wananchi Umuhimu wa kulinda amani na kuchapa kazi.
Mwisho.
0 Comments