Header Ads Widget

BALOZI DKT PINDI CHANA AWASILI HIFADHI YA NGORONGORO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) leo Oktoba 16,2024 amewasili katika Ofisi za  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro jijini Arusha kwa ajili ya kikao kazi na Menejimenti ya Mamlaka hiyo.


Mhe. Chana amepokelewa na Kamishna Uhifadhi wa NCAA, Elirehema Doriye,  Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Utalii Nkoba  Mabula na Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Dkt. Thereza Mugobi.



 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI