Wahamiaji haramu raia wa Ethiopia wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela au kulipa faini ya Milioni moja kwa kila mmoja katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Manyara kwa koÅŸa la kuingia nchini kinyume na utaratibu wa sheria.
Wahamiaji hao walikamatwa Machi 23, 2024 katika kizuizi cha Polisi cha Minjigu kilichopo Babati vijijini mkoa wa Manyara wakati polisi wakifanya ukaguzi wa magari.
0 Comments