Mashabiki wa Mkongwe wa soka wa Argentina Diego Maradona wameibua mpango wa kuomba ruhusa ya kuuchukua moyo wa Mkongwe huyo kutoka kwenye maabara ulipo na kuusafirisha kwenda kwenye Kombe la Dunia huko Qatar.
Diego,aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo,hakuzikwa na moyo wake
0 Comments