Header Ads Widget

HABARI PICHA; RAIS WA ZANZIBAR DKT.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF ANAYEFANYIKA KAZI ZAKE OFISI YA ZANZIBAR.

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi  wa UNICEF anayefanyika Kazi zake Ofisi ya Zanzibar.Bi. Laxmi Bhawani.mazungumzo hayo yamefanyika  katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa UNICEF anayefanyia kazi zake Ofisi ya Zanzibar Bi.Laxmi Bhawani, baada ya kumkabidhi Jarida la UNICEF linalozungumzia  Maliza Ukatili na Udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Zanzibar


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa  Jarida la UNICEF  likiwa na ujumbe wa ‘Maliza Ukatili na Udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Zanzibar’ na Mwakilishi wa UNICEF wa Ofisi ya Zanzibar Bi. Laxmi Bhawani,


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI