Timu ya mchezo wa kamba wanaume kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakiwa kwenye mechi na timu ya wanaume kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) leo Oktoba 22, 2021 wakati wa Mashindano ya Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) yanayoendelea mjini Morogoro.
Timu ya mchezo wa kamba wanaume kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakiomba duwa tayari kuikabili timu ya wanaume kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) leo Oktoba 22, 2021 wakati wa Mashindano ya Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) yanayoendelea mjini Morogoro.
Timu ya mchezo wa kamba wanaume kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakiwa wanajianda kuikabili timu ya wanaume kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) leo Oktoba 22, 2021 wakati wa Mashindano ya Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) yanayoendelea mjini Morogoro.





0 Comments